Wanawake wana mambo mengi

Punguza wasiwasi wanataka wakushirikishe mkapige 3some.
 
Wakutanishe wote ili kila mmoja aongeye anachotaka kuongeya na wewe mkiwa pamoja..
 
Wewe ni wa kanda ya ziwa eeh hasa kule kwenye mapanga, fanya editing kwanza kabla hauja post
 
Sasa apa ndo najiuliza hawa wameongeya nini kuhusu mimi

Na nina shindwa kuhelewa ni ongeye na nani kwanza

Usiongeye,,,na hata usihelewe..

Chunga tu marinda,,, Msela asije akawa amepewa sumu huko,
 
Husihongeye naho.. awaheleweki haho... Hahu laha, kila mmoja muhulize sababu hasa ni nini ya wao kutaka kuhongeya na wewe... Yahani wakupe hajenda mapema hili hujuhe na hujihandahe mapema jinsi ya kuhongeya naho
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…