kwisha said:Na nina shindwa kuhelewa ni ongeye na nani kwanza
Ni Mtoa Mada na Sio Mtoa Nada [emoji3][emoji3][emoji3]Hata sijaelewa kabisaaaaaa mimi ,mtoa nada we ni me au ke
[emoji3]sawa
Ni me yaani alikuwa na boyfriend wa X wake geto kwa huyo mwamba, mara X wake akawa amekuja kugongwa ikabidi jamaa aondoke huku roho inamuuma...Hata sijaelewa kabisaaaaaa mimi ,mtoa mada we ni me au ke
Kwa mara ya kwanza tuseme tawileeeeeeeee!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni me yaani alikuwa na boyfriend wa X wake geto kwa huyo mwamba, mara X wake akawa amekuja kugongwa ikabidi jamaa aondoke huku roho inamuuma...
Poah poa
Husihongeye naho.. awaheleweki haho... Hahu laha, kila mmoja muhulize sababu hasa ni nini ya wao kutaka kuhongeya na wewe... Yahani wakupe hajenda mapema hili hujuhe na hujihandahe mapema jinsi ya kuhongeya nahoWanawake bwana wana vituko saana
Leo ex wangu kanikuta na mpenzi wake wa sasa
Mimi sikujua kama huyo jamaa ndo boyfriend wake tulikutana tu kwenye mishe mishe zetu tu
Sasa leo nilikuwa kwa msela demu sijui kama alikuwa na kuja kugongwa akanikuta pale dah
Akamuita jamaa ndani mimi nikasepa zangu
Sasa nilivyo fika home jamaa aka ni text eti ana hitaji kuongeya na mimi
Demu naye ame ni text kuwa ana hitaji kuongeya na mimi
Sasa apa ndo najiuliza hawa wameongeya nini kuhusu mimi
Na nina shindwa kuhelewa ni ongeye na nani kwanza