nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha,asubuh anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie,mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku,nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka kufika home ni saa tatu saa nne,weekend pia anataka nimpeleke mimi weekend siendi kazini,mpaka kumchukua weekend anataka nikamchukue,leo nimechelewa kidogo kumchukua hata kunisalimia hajanisalimia amerud amevuta mdomo anachat mpk muda huu tu sebuleni,hivi hapo kosa likowap??kama sio habari za kipuuzi kabisa sema nimenyamaza tu,