Wanawake Wana drama hatari

Duuh kuweni makini
 
Ili mpenzi wako apate mesej kwa wingi hivyo ni lazma awe member wa hio mitandao na mtu wa kupost mapicha picha humo. Kitu cha kwanza ni kuhakikisha mpenzi wako haji expose humo mitandaoni. Daby
 
Inatisha aiseee...Pole mwamba, utapata tu...
ILA TUFANYE HAYO SISI WANAUME, DUH TUTAITWA MAJINA YOTE MABAYA DUNIANI, TUTATUKANWA MPAKA NA WAZAZI WETU!
Ni janga la taifa kabisa hawa watu..
 
Darasa safi kabisa.
 
Yani ulivyotaja tu kuwa demu ni mnyaturu nishakata moto wa kuendelea na story yko, hilo kabila la mademu viruka njia mkuu
 
Hiki chuma nakielewa SANA .....yaani cha msingi ni ku move on japo maumizi yapo,yatakuwepo na yataisha taratibu taratibu usianze kuleta lawama(malalamiko) yashatokea kulalamika hovyo ni dalili ya udhaifu shusha pumzi jipange upya
 
Si muuwaji uyu tenah mwanajeshi hizi drama ni hatare Sana 😂😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…