Wanawake Wana drama hatari

wanaume tuna kazi sana hapo unaambiwa babe niache nilale kidogo ntakupigia au nafanya assignment ntakutafuta kumbe jamaa ana drill papuchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
N noma mzee baba....nakumbuka huu mtombano wa mwisho demu alimuaga huyo mshikaji wake kuwa atasoma usiku huo kuanzia saa moja mpk nane usiku,na kesho anaamkia kufanya paper...yaan n balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaah,so sad ....I can imagine ur pain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni maisha ya kawaida sana kwa wadada wa vyuoni. Nakumbuka wakati nipo chuo, nilikuwa na mahusiano kama haya ya mtoa mada. Ila tukiwa mwaka wa pili chuo ndio nilikuja tambua dada niliekuwa nae alishaolewa na mwanajeshi na ana mtoto mmoja na anasomeshwa na mume wake. Wanawake wana drama hatari sana.
 
Hawa viumbe ukiwaruhusu waongee utapigwa kamba hadi ujione wewe ndio unakosa. Unaweza jikuta unaomba msamaha kabisa.
Next time ukishapata ushahidi kama ule wa facebook kujumlisha na zile chenga chenga, wewe kula kona.
Na huyo baharia mwingine sijui ana shida gani, hivi mwanamke kakucheat mwaka mzima bado unataka kuoa? Watu tupo tofauti sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah.....bhc n zaidi ya hatari aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…