Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,911
- Thread starter
-
- #41
Huna msaada zaidi ya hapo ?Poleni....
Natamani niwe na msaada katika hili..ila sina experience ya mahusianoHuna msaada zaidi ya hapo ?
Asa unalialia na kisa gani iko mambo madooogo ayo si ushukuru kwanza we ndo umefaidi pesa ya jamaa mwenzio
Jitaidi utafute pesa unaweza ukashangaa kumuoa wewe, saivi huna pesa ni lazima mapenzi yakusumbue
Exactly,yaan hiki ndicho kilichokuwa kinatokea....jamaa anamsindikiza mpk singida stand hlf mm nampokea ubungo....Mambo n mengi muda n mchacheSiku ukimjua mwanamke vizuri ujue unakaribia kuaga dunia! Mume anamsindikiza mke wake stand/airport anapanda gari/ndege anakwenda kugongwa na mwenzie anarudi anapokelewa na mumewe vilevile na asijue kitu 🤣 🤣 🤣 🤣
Siku ukimjua mwanamke vizuri ujue unakaribia kuaga dunia! Mume anamsindikiza mke wake stand/airport anapanda gari/ndege anakwenda kugongwa na mwenzie anarudi anapokelewa na mumewe vilevile na asijue kitu
Hahhaahaa....sawa mkuuPole kabisaaaa ndugu ila wote hapo mmeiba mke wa mtu aisse Mana Alie mbikiri Yuko ana wachora tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhhaaaaaa....sawa mkuuMkuu kama umekula sana unaumia sana kivipi? Umia kidogo alaf tafuta mwengine kisu uishi nae, nakuhakikishia atarudi tu huyo mzinifu mkubwa, na akirudi mle mpaka mfupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio yamenikuta ,ndio nmeaminiHaitakuwa sawa kuzungumzia kabila la mtu hapa lakini hupaswi kumuamini mwanamke mnaekutana Chuo aise utaishia kuumia, hao wanyaturu ni wazuri na weupe na shape juu lakini sasa duh kwa uhuni jiandae kupigiwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ukiona umemfahamu vizuri mwanamke ujue umekaribia ukingoni 🤣 🤣 🤣Haaaa haaaa duh basi haina haja ya kumjua mwanamke kama ndio mambo ya kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
N kweli mkuu. .maana sikuamini jamaa aliposema amemsamehe na bado anampenda sana licha ya demu kukiri usaliti alioufanyaHuwezi jua ilikuwaje labda wali break up ndo maana binti akaamua kuwa na uyu wa chuo, usiseme amuoe nani watu wanaolewa wana makando kando mengi na magumu lakini unashangaa wapo tu wanaenjoy kwenye ndoa zao
Sasa kama hawakuwa pamoja kwa wakati huo ulitaka iweje? Binti angekaa mwaka mzima akisubiri the return of ex au?N kweli mkuu. .maana sikuamini jamaa aliposema amemsamehe na bado anampenda sana licha ya demu kukiri usaliti alioufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi acha kuumia, ...tafuta mwingine.Hapana siwez kumtafuta kwa ajili ya sex maana malengo yangu na huyu binti haikuwa sex bali mengine ya mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa aliniambia n demu wake toka zamani na mpk kwao wanamfahamuSasa kama hawakuwa pamoja kwa wakati huo ulitaka iweje? Binti angekaa mwaka mzima akisubiri the return of ex au?