Marmeid
JF-Expert Member
- Dec 31, 2024
- 520
- 1,200
Habar za mda huu ndugu
Kuna kitu nimekuwa nikikigundua kuhusu maisha yangu kadiri ninavyozidi kukaa na kujitafakari mimi ni mtu ambaye mara nyingi napenda kuwa busy na kujishughulisha na mambo yangu mwenyewe.
Maisha yangu mengi yanajengwa na nidhamu ya kazi, kujifunza, na wakati mwingine kujipa nafasi ya kupumzika kwa kwenda sehemu tofauti tofauti kwa ajili ya mapumziko au refreshment ya akili.
Kwa asili yangu pia mimi si mtu wa marafiki wengi sana naweza kusema wazi kabisa kwamba mara nyingi nimekuwa mtu wa maisha yangu mwenyewe a man of my own path.
Sio kwamba sina watu ninaowajua au ninaowasiliana nao, lakini mahusiano yangu mengi ya kijamii huwa ya wastani tu tunapokutana tunafurahi, tunacheka, lakini bado moyo wangu mara nyingi hubaki kwenye utulivu wangu binafsi.
Lakini kuna jambo moja ambalo nimekuwa nikilitambua kadiri muda unavyokwenda wanawake wamekuwa na influence kubwa sana katika maisha yangu hata kama mimi si mtu wa mahusiano ya kimapenzi sana, bado uwepo wa wanawake kwenye maisha yangu unaonekana kuwa na nafasi ya kipekee sana.
Ni kama kuna aina fulani ya connection ya ndani ambayo si rahisi kuielezea kwa maneno ya kawaida
Kwa mfano, ninapokaa na dada yangu au mama yangu tunapoongea, mara nyingi nahisi mazungumzo yetu yana kina tofauti Kuna utulivu fulani, kuna uelewa fulani, na kuna aina ya amani ambayo siipati kirahisi katika mazungumzo mengine. Hali hiyo hiyo pia ninaihisi nikiwa na ndugu zangu wengine wa jinsia ya kike.
Ni kama uwepo wao unaleta balance ya kihisia katika maisha yangu
Katika maisha yangu ya kila siku pia, wanawake wamekuwa kama sehemu ya furaha yangu ndogo ndogo Sio lazima iwe katika mahusiano ya kimapenzi Wakati mwingine ni mazungumzo, wakati mwingine ni tabasamu, wakati mwingine ni namna wanavyoongea au namna wanavyo interact na mazingira yao.
Kuna kitu ndani yao ambacho kinavutia akili yangu kwa utulivu sana
Nimegundua pia kwamba upendo wangu kwa wanawake hauishii kwenye umri au aina fulani ya mahusiano Ni kama appreciation ya jumla ya uwepo wao kama sehemu ya ubinadamu Kuanzia watoto wadogo, vijana, hadi wanawake watu wazima mara nyingi nahisi kuna kitu cha thamani ndani ya uwepo wao.
Ndiyo maana wakati mwingine nikiwa sehemu fulani ya kupumzika, naweza kukaa tu kimya na kuangalia jinsi wanawake wanavyoongea, wanavyocheka, au wanavyowasiliana na watu wengine.
Sio kwa tamaa ya kimwili
Ni zaidi kama kutazama uzuri fulani wa maisha wakati mwingine nikiwa natafakari sana, huwa najiuliza kama labda hisia zangu kuhusu wanawake hazitokani tu na mvuto wa kawaida wa kimwili.
Nahisi kuna kitu kingine cha ndani zaidi labda appreciation ya asili ya feminine energy katika maisha.
Hata kwenye familia yangu hilo linaonekana wazi Nampenda sana mama yangu kwa kiwango kikubwa sana Kuna heshima, upendo na shukrani kubwa sana moyoni mwangu kwake Pengine hilo pia limechangia namna ninavyowaona wanawake kwa ujumla
Kwa sababu mara nyingi ninahisi uwepo wao unaleta
hamasa
furaha
utulivu wa akili
na hisia fulani ya uzuri wa maisha.
Wakati mwingine najikuta nikifikiria kwamba labda upendo wangu kwa wanawake sio wa kawaida kabisa. Ni kama appreciation ya kina zaidi ni kama vile mtu anavyoenda kwenye bustani au kwenye zoo kuangalia wanyama kwa furaha ya kutazama maumbile mazuri.
Kwa namna fulani, mimi pia wakati mwingine napata furaha hiyo ninapowaona wanawake wakishirikiana na maisha yao ya kila siku.
Sio kwa sababu nahitaji kuwa nao kila wakati bali kwa sababu uwepo wao unanikumbusha uzuri fulani wa maisha ya kibinadamu.