Wanawake walivyo jiachia balaaa

Hapo no.4 yataka moyo,la sivyo waweza jikuta unaweka mkono mfukoni.
 
Nina wasiwasi na mtoa mada, wanawake waliumbwa kuwastarehesha wanaume lakini nashangaa mtoa mada anataka nini, njoo wewe basi utukatie viuno tukutuze.
 
Mbuzi Mzee hizo picha ulizotuwekea ni za ngoma ya kitanga ikiitwa BAIKOKO, Unabishaaaa?
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi na mtoa mada, wanawake waliumbwa kuwastarehesha wanaume lakini nashangaa mtoa mada anataka nini, njoo wewe basi utukatie viuno tukutuze.

ukitaka kukatiwa kiuno nenda butcher umpe hela yako muuzaji kisha mwambie "nikatie kiuno"
 
ukitaka kukatiwa kiuno nenda butcher umpe hela yako muuzaji kisha mwambie "nikatie kiuno"

Wale wale wasomi wetu, kioo ni kile cha mama yako ukiona chupa la sio kioo, ni nini?

Haya "kuzungusha kiuno".
 
Wale wale wasomi wetu, kioo ni kile cha mama yako ukiona chupa la sio kioo, ni nini?

Haya "kuzungusha kiuno".

fuata maelekezo tafadhali, ulalamishi ni dalili mbaya kwenye ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…