Wanawake waliomuacha huwa hawaolewi

Wanawake waliomuacha huwa hawaolewi

huenda pia kuna ahadi au viapo wanavyoapizana wakiwa wapenzi, hii nayo yaweza kuwa sababu.

Viapo vipo na vinaweza ku-apply hapo, lakini kunaweza kukawa na kitu kingine.

Kwa mfano nilikua na jirani yangu ambaye kwa sababu ambazo hata yeye hazijui, huwa anavutiwa sana na wanawake vicheche ambao hajui records zao, anaishi nao na baadae wanaishia kumshinda na kumuacha, wakishamuacha ndio watu wanakuja kumpa historia za hao wanawake na yeye anabaki anashangaa. Na hao wanawake hawadumu hata kidogo na mwanaume yeyote mwingine. Walidumu angalau kwa muda mrefu kiasi na jirani yangu kwa sababu alikuwa mvumilivu na alikuwa sio mtu wa kustukia michezo yao.

Kwa hiyo tatizo unawezakuta lipo kwa hao wanawake wenyewe na sio kwa jamaa.
 
Back
Top Bottom