Wanawake waliojaaliwa nyuma wana confidence sana..

hahahahahahaha mbona mm napenda nikivaa najifunga kishati na co flat
nafanya hivo naepuka kero za kutizamwa butt maana wanaume wa Dar macho yao huwaga yapo mat...koni ukipita..
 
Wadau nimefanya kajiutafiti, wanawake wenye makalio makubwa wana confidence compared to flat! Flat Mara avae jacket... Mara ajifunge mtandio.., we dar na joto Lote unavaa koti! Najua vi flat wata mind! But hamna namna.....
Na baibui
 
Hili suala lina ukweli asee[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…