Salaam.

Nachukua mda huu kuwaomba wanawake wote walio single,

Waweze kuwasiliana nami humu,ili niweze kupata pair inayonifaa.

Natanguliza shukrani.

Natamani kumpata yule mkweli,nitakae share nae huzuni na furaha,matamu na machungu,shida na raha pia.