wanawake walio badili rangi ya nywele wana macho mia mia

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,946
Reaction score
63,725
Heshima yenu wakuu.Tangia mwaka jana nlikua nimefanya uchunguzi binafsi wa swala hili na kugundua kuwa wanawake wanao badili rangi ya nywele zao na kua ya dhahabu unakuta asilimia kubwa hawajatulia. Hawa wanatofautiana na wanao vaa mawigi. Hawa ninao wasema mimi ni wale wanao badili nywele zao za asili. Ukimchunguza utakuta ana tatoo za kudumu eidha kwenye matiti, mkononi, pajani na kiunoni. wanapenda sana starehe, hawana mapenzi ya kweli. wengi wao ni vicheche.huo ndo ukweli. samahani lakini. mia
 
ta2.jpg
figganigga
Unamaanisha kama huyu au?
 
na mwanaume anayeweka nywele dawa?

Mwanaume anayeweka nywele dawa ni mvivu wa kuwaza, anayependa maisha laini na mtegemezi sanaa.. sometym wanakuaga mashoga..
Mwanaume akinyoa kiduku huyo anapenda mijisifaa sanaa.. na wanapozi pia kama mademu..
 
Heshima yenu wakuu.Tangia mwaka jana nlikua nimefanya uchunguzi binafsi wa swala hili na kugundua kuwa wanawake wanao badili rangi ya nywele zao na kua ya dhahabu unakuta asilimia kubwa hawajatulia. Hawa wanatofautiana na wanao vaa mawigi. Hawa ninao wasema mimi ni wale wanao badili nywele zao za asili. Ukimchunguza utakuta ana tatoo za kudumu eidha kwenye matiti, mkononi, pajani na kiunoni. wanapenda sana starehe, hawana mapenzi ya kweli. wengi wao ni vicheche.huo ndo ukweli. samahani lakini. mia
attachment.php

attachment.php
NA HUYU
 
Nimejaribu kukumbuka kama watano hivi walio badili nywele zao kuwa gold. Wote wana tatoo halafu ni vicheche balaa! Duuh
 
hahahaaa!!mzee wa mia
yamekukuta yapi best
ila kuna kaukweli lolz!!
 
Back
Top Bottom