Wanawake wakatoliki Songea wawapinga"CDM"

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.
 
nimesikia hiyo taarifa but i dint hear such a thing. COOKED INFO
YOU SHOULD GO TO HELL FOR SUPPORTING FISADIS
 
Siwezi shangaa hata kidogo,kwani ulipotaja Songea nikajua ni kule ambapo bado jua halijawaangazia,Poleni kama ni kweli mna harufu ya kauli hiyo.
 
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.

ccm wamewapa doti ngapi ngapi za kanga nyie kina mama wa bombi hii nyumbi hii? subirini bajaji za jk.
 
Naibu waziri wa michezo na vijana Emmanuel Nchimbi, ndiye alikuwa mgeni wa heshima katika sherehe ya siku ya akina mama duniani. Katika hotuba yake alilaumu maandamano na mikutano inayofanywa na CDM. Amesema kuna pepo mbaya ameibuka nchini Tanzania ambaye amesababisha watu kuwa na mawazo ya kuuwa, hivyo akawaomba akina mama wafunge ili pepo huyo ashindwe.
 
hawa kina mama wanasali jumuia kweli? au ndo wale padri mmoja alitoa mahubiri akasema siku za wikendi nyumba za kulala wageni zinafurika wateja?
 
kumbe songea............................aaaaaaaaaaaagggggggggggggghhhhhhhhh,bado wapo gizani tutapeleka tochi ya taifa(CDM)
 
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.

Ni haKI YAo kutoa mawazo yao na msimamo wao
 
Sasa Ulimwengu ni wa Vijana na si wazee na akina mama washapitwa na wakati hawa
 
Naibu waziri wa michezo na vijana Emmanuel Nchimbi, ndiye alikuwa mgeni wa heshima katika sherehe ya siku ya akina mama duniani. Katika hotuba yake alilaumu maandamano na mikutano inayofanywa na CDM. Amesema kuna pepo mbaya ameibuka nchini Tanzania ambaye amesababisha watu kuwa na mawazo ya kuuwa, hivyo akawaomba akina mama wafunge ili pepo huyo ashindwe.

Kumbe habari yenyewe hata haina uzito, ni kiini macho tu maana huenda walitaka kumfurahisha tu huyu Nchimbi.
 
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita pembeni. Wanasiasa hawa wanaohubiri machafuko wamejaa pepo mchafu. TO HELL CDM

Asanteni kina mama. Kwani ktk machafuko wanaaoumia ni akina mama na watoto.

Sasa Chadema wameanza kumeguana wenyewe kwa wenyewe. Kigango kimoja kimeshamtosa Parde Slaa.

Kumbe si kila mtu kipofu. Poleni Chadema.

hawa kina mama wanasali jumuia kweli? au ndo wale padri mmoja alitoa mahubiri akasema siku za wikendi nyumba za kulala wageni zinafurika wateja?

Inawezekana hawasali jumuia hawa akina mama. Kwani jumuiya mliambiwaje kuhusu siasa za Tanzania(CCM Vs CDM). Maana hapo nilipo-red inaonesha kuna kitu mliambiwa na wao hawakijui. Inawezekana wameasi msimamo mliopewa ktk jumuiya
 
mbona ccm na wenyechama hawajatoa tamko kuwa huo ni udini? ahaa aha kwa sababu waliosemwa ni chadema, wangelikuwa ni ccm wamesemwa, tungeambiwa na ccm, uvccm, na wale wengine kuwa wanawake hao wavue rozari na waingie kwenye siasa. zamu hii tutaona mengi
 
Siwezi shangaa hata kidogo,kwani ulipotaja Songea nikajua ni kule ambapo bado jua halijawaangazia,Poleni kama ni kweli mna harufu ya kauli hiyo.

Ipo Peremiho huko, kanisa kubwa sana na kongwe sana katika tanzania la kikatoliki.

Siri ya Chadema sasa zinafichuka. Acheni Ukanda, ukabila na udini
 
Nyie akina mama wa Kingoni fanyeni maendeleo kama wenzenu wa kanda nyingine, sio kila siku mnapewa fulana na ccm basi mnadhani matatizo yenu yatakwisha, mtakuwa masikini wa kutupwa mpaka mwisho, mtaendelea kula Viazi jeshi(Majeko) mangatungu na lidelele(mlenda) mpaka mshangae, agrrrrrrrrrrrrrrrr no wonder watu wakihamishiwa huko kikazi wanaacha kazi kumbe wachawi wa maendeleo ni nyie wenyewe AKINA MAMA WA SONGEA
 
Nani kaubiri kushilia kumwagika kwa damu? Inabidi tufatilie kwa kina kinachoongelewa na viongozi wa CDM na si kukurupuka pasipo kuelewa undani wa wanaharakati hawa. Nani asieguswa na hali ngumu ya uchumi inayololikabili taifa letu, Tanzania? Hope ni wachache ambao wanawapuuza watanzania ambao wananufaika na mfumo huu wa kibepari, mfumo kandamizi.
Walioongea sisi wakina mama wakatoliki bali ni kikundi kidogo cha kinamama walionufaika au kuadiwa msaada na mshikaji aliekuwa mgeni rasmi.
Poleni sana watanzania na haswa tusiojua haki zetu na mipaka ya kudai haki zetu.
 
Back
Top Bottom