The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,246
Post deleted by author!
Kawaulize madaktari au tusubiri wajeMkuu uchunguzi unaonesha hivyo, hili hata Nesi mmoja aliwahi niambia kuwa wanawake wasiku hizi huomba wenyewe wajifungue kwa njia ya upasuaji na huku hana tatizo lolote la kiafya linalompelekea yeye kutaka kufanyiwa upasuaji. Sababu kubwa ni hii ya kuingiliwa kinyume na maumbile.
Maelezo mazuri. Mleta mada anataka kulisha watu hisia zake ili tuwaone wale wanawake wote wanaopata watoto kupitia caesarean delivery kuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile wakati kuna sababu lukuki zinazopelekea hilo.C-section can be a choice yes kwa anayependa. daktari makini atamwelekeza mzazi tarajiwa madhara na faida za kila njia ya kujifungua. Lakini history ya mja mzito kiafya itamsaidia daktari kuamua njia sahihi ya kuzaliwa mtoto
Kwa wengine vaginal delivery can be very risky kwa uhai wa mama na mtoto pia so daktari anamchagulia C-section. However, kama mtu akichagua C-section kwa nini umhukumu kwamba ni kwa sababu amezoea kufanya kinyume na maumbile? Its a choice ambayo ni makubaliano ya daktari na wazazi watarajiwa. Sisi wengine wote ni third party kwenye hili.
Hatuwez kuchangia uzii wa kipuuz hivKawaulize madaktari au tusubiri waje
This are violation of human dignityNi kweli hata mie nimeshuhudia jirani yangu kwa masikiona macho yangu aliniambia kuwa "Jumatano ijayo nitakwenda kufanyiwa upasuaji nipate baby gal" nikamuuliza umejuaje kuwa ni mtoto wa kike, na huo upasuaji una tatizo gani? akasema nimeweka tu appointment nipasuliwe sitaki kuchanika K..A yangu ni kuhusu jinsi ya mtoto gani nimefanya Ultrasound nijue nina mimba ya mtoto wa kike au wakiume ndio kwa hiyo nimeona nina mtoto wa kike
Afadhali umewaelimisha kwani mleta mada ni mzushi. Hivi Uchungu wa kupata motto unaujua, unausikia hamna uchungu wopwote nasema wowote kama wa uchungu wa kujifungua. sasa pata elimu zaidi wanaojifungua kwa operation hawausikii uchungu huo. Japokwa uopande wangu napendelea mambo ya natular as naamini yaliwekwa kwa maana yake na siko sure na tofauti ya ond kati ya njia hizo mbili. Ila tu wewe na wengine wenye hisia potofu muelewe ukweli huo!Mimi baada ya mwanaguwa kwanza kufariki eti kwa kusubilia uchungu zaidi ya saa nyingi niliamua kuwa next time kama nitajaliwa mke wangu kubeba mimba ni kisu tu na kweli ilivyo fika nilipata mtoto mapema kwa upasuaji na sio ishu ya kinyume na maumbile kama mnvyodai
Kujifungua hakuna ushujaa...Mimi baada ya mwanaguwa kwanza kufariki eti kwa kusubilia uchungu zaidi ya saa nyingi niliamua kuwa next time kama nitajaliwa mke wangu kubeba mimba ni kisu tu na kweli ilivyo fika nilipata mtoto mapema kwa upasuaji na sio ishu ya kinyume na maumbile kama mnvyodai
1.This is ....This are violation of human dignity
Thisi are1.This is ....
2.These are ....