Wanawake wahenga wanajua sana mapenzi

Natural mkuu napenda sana kunywa tende na nyama choma na ugali dona bas. Tatizo wanaume wa dar wanashindia chips na bikut inakuwa ni vigumu kuamin
Inawezekana una genes za sungura.. Maana sungura anaweza piga hadi bao nne kwa wakati mmoja
 
Kweli kabisa mtoa mada, mimi ndio type zangu hizo, yaani kwenye sita kwa sita full burudani kwakweli wanajitambua wawapo kwenye mechi, pia hata awe mwembamba au mnene kiasi gani hawezi kukaa tu kapanua bila kujishuhulisha nq dude
 
Wahenga ni dhahabu mkuu sio hawa vicheche
 
Nimecheka mie.Asante kwa baraka tumezipata lakini usije ukawa unaturubuni ili tujibweteke
 
Round nane au tisa umesikia hiyo ni boxing ya kina Tyson na Mayweather!?? Hapo bao nzitonzito zinatoka kweli au ni upepo tuu!??
Bao nane anabaki salama kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…