Wanawake wahenga wanajua sana mapenzi

Kumbe bado wewe in boy. ..sasa hao wahenga umewagegeda wangap mpaka kufikia hitimisho la uchunguz wako mkuu???
 
Acha kufanya watu watoto wadogo wew
Hujaelewa nini hapo mkuu kula vizur jitaid japo kila week kunywa juis ya tende walau mara tatu kwa week tatizo lako kila siku unashindia CHIPS NA BISKUT
 
Labda ni kwa sababu, wanazingatia mafunzo ya mabibi zao...

Wa sasa nadhani usasa umezidi sana...


Cc: mahondaw
 
Naona umefanikiwa kubadilisha ID. Admn invisible kafanya kazi yake. Hivi ile ID ya awali ilikuwa inaitwaje?
 
Hujaelewa nini hapo mkuu kula vizur jitaid japo kila week kunywa juis ya tende walau mara tatu kwa week tatizo lako kila siku unashindia CHIPS NA BISKUT
Bao nane! HAIWEZEKANI labda enzi za Adam na Hawa...kama kuna muhenga m/mke yupo humu alete ushuhuda kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…