WANAWAKE: wahanga wakubwa wa unyanyapaa

WANAWAKE: wahanga wakubwa wa unyanyapaa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,087
Ni ngumu kukubaliana nami kama nawe ummoja wa wale wanaume wanaoendeleza unyanyapaa kwa wanawake, mama zetu hawa wamekuwa ni wahanga kwenye kila jambo baya, hata humu jamvini post nyingi za kudhalilisha zimemlenga mwanamke.NI LAZIMA TU TUBADILIKE SASA

Mabinti wa wazazi wenzetu tunawaharibu sisi kwa tamaa zetu za kishenzi, tunawaondoa ubikira wao na kuwapa vizawadi visivyolingana na kile tulichokifanya, tunatumia udhaifu wao, uhitaji wao na umasikini wao kuwafanyia mambo ya hovyo,

Nyumba ndogo nyingi ni za mabinti wadogo waliozidiwa umri pakubwa tu waliowapangia, ni wababa wenye familia na watoto wanaolingana kabisa na waliowapangia

Mashindano mengi ya udhalilishaji utu wa mwanamke hupangwa kuratibiwa na kufadhiliwa na sisi wazazi wenyewe wa kiume,

Mwanamke anachukuliwa kama kiumbe cha burudani na kumfurahisha mwanaume siku zote, na bado likitokea tatizo ndani ya familia mhanga wa kwanza ni mwanamke,

Jumapili hii tuwapo majumbani mwetu.sehemu nyingine zozote hebu tutafakari nafasi, utu heshima ya mwanamke katikajamii yetu.
 
Wanaume acheni kutunyanyapaa sisi wanawake,

Sisi ni binadamu wenzenu wala sio wanyama.
 
Wanaume walio wengi hawatachangia huu uzi,kama unabisha subiri uone.
 
ni ngumu kukubaliana nami kama nawe ummoja wa wale wanaume wanaoendeleza unyanyapaa kwa wanawake, mama zetu hawa wamekuwa ni wahanga kwenye kila jambo baya, hata humu jamvini post nyingi za kudhalilisha zimemlenga mwanamke.NI LAZIMA TU TUBADILIKE SASA

Mabinti wa wazazi wenzetu tunawaharibu sisi kwa tamaa zetu za kishenzi, tunawaondoa ubikira wao na kuwapa vizawadi visivyolingana na kile tulichokifanya, tunatumia udhaifu wao, uhitaji wao na umasikini wao kuwafanyia mambo ya hovyo

nyumba ndogo nyingi ni za mabinti wadogo waliozidiwa umri pakubwa tu waliowapangia, ni wababa wenye familia na watoto wanaolingana kabisa na waliowapangia

mashindano mengi ya udhalilishaji utu wa mwanamke hupangwa kuratibiwa na kufadhiliwa na sisi wazazi wenyewe wa kiume

mwanamke anachukuliwa kama kiumbe cha burudani na kumfurahisha mwanaume siku zote, na bado likitokea tatizo ndani ya familia mhanga wa kwanza ni mwanamke
Jumapili hii tuwapo majumbani mwetu.sehemu nyingine zozote hebututafakari nafasi, utu heshima ya mwanamke katikajamii yetu

bwabwaja tu hujawahi kuyapata hata mungu anasema muishi nao kwa akili aliliona toka zamani
 
Kwa kuelimishana kasi ya unyanyasaji inapungua ingawa wabish hawakosekani
 
Back
Top Bottom