Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Aug 20, 2025 #21 Watu8 said: Kuna mshikaji wetu kaoa wa Kigoma, yule mwanamke anapiga kazi kama punda na jamaa alijiopolea tu huko Kigoma alivyoenda kazi za porini... Click to expand... heeee๐๐๐
Watu8 said: Kuna mshikaji wetu kaoa wa Kigoma, yule mwanamke anapiga kazi kama punda na jamaa alijiopolea tu huko Kigoma alivyoenda kazi za porini... Click to expand... heeee๐๐๐
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 2,483 Reaction score 5,375 Aug 20, 2025 #22 Kinoamiguu said: Mdogo wake/ pacha wake BITEKO Kakatwa kwakuwa siyo raiya wa Tanzania ๐น๐ฟ. Huku BITEKO ni naibu wazir mkuu na atakuwa pm! Hili limekaaje? Wale watu mapacha jamani Click to expand... Kama ni kweli basi bongo ni noma
Kinoamiguu said: Mdogo wake/ pacha wake BITEKO Kakatwa kwakuwa siyo raiya wa Tanzania ๐น๐ฟ. Huku BITEKO ni naibu wazir mkuu na atakuwa pm! Hili limekaaje? Wale watu mapacha jamani Click to expand... Kama ni kweli basi bongo ni noma
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,212 Reaction score 80,121 Aug 20, 2025 #23 Wanawake wa kiha ni wavumilivu sana sana. Tatizo lao ni ubishi na ujuaji. Yaani hata kama umemshuhudia atakukatalia. Ila waha wa Uvinza naona kama ni tofauti na hao wa wilaya nyingine, wajanja wajanja sana na uswahili mwingi.
Wanawake wa kiha ni wavumilivu sana sana. Tatizo lao ni ubishi na ujuaji. Yaani hata kama umemshuhudia atakukatalia. Ila waha wa Uvinza naona kama ni tofauti na hao wa wilaya nyingine, wajanja wajanja sana na uswahili mwingi.
Kelly Bundan New Member Joined Jul 28, 2025 Posts 3 Reaction score 0 Aug 20, 2025 #24 Davidmmarista said: Wadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno Click to expand... Hao manyang'au achana nao.......ni mapretender wakubwa .......ushirikina mbele na kutaka kuwatawala waume zao ndani hovyo kabisa hao watu
Davidmmarista said: Wadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno Click to expand... Hao manyang'au achana nao.......ni mapretender wakubwa .......ushirikina mbele na kutaka kuwatawala waume zao ndani hovyo kabisa hao watu
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 7,352 Reaction score 11,252 Aug 20, 2025 #25 Amehlo said: abeee proton pump Click to expand... njoo PM basi
Mr Attorney JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 25,538 Reaction score 34,681 Aug 20, 2025 #26 Davidmmarista said: Wadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno Click to expand... Mimi bado sija notice. Niki notice nitatoa tamko.
Davidmmarista said: Wadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno Click to expand... Mimi bado sija notice. Niki notice nitatoa tamko.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Aug 20, 2025 #27 proton pump said: njoo PM basi Click to expand... nakujaaaaa
Mr Attorney JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 25,538 Reaction score 34,681 Aug 20, 2025 #28 Amehlo said: nakujaaaaa Click to expand... Pitia kwangu, nikupe bakshishi
Mrs Byesige JF-Expert Member Joined Nov 5, 2019 Posts 2,027 Reaction score 3,942 Aug 20, 2025 #29 Kinoamiguu said: Hasnati HANJE YUPO WAPI?? Click to expand... Ikungi
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Aug 20, 2025 #30 Mwakawabaraka said: Pitia kwangu, nikupe bakshishi Click to expand... ngoja nikiwa narudi
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,285 Reaction score 23,584 Aug 20, 2025 #32 Davidmmarista said: Wadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno Click to expand... Epuka uchawi mkubwa kutoka kwa hawa watu, watakupigia goti la kukuloga hadi kope za macho.
Davidmmarista said: Wadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno Click to expand... Epuka uchawi mkubwa kutoka kwa hawa watu, watakupigia goti la kukuloga hadi kope za macho.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,689 Nov 9, 2025 #33 Ngoja waje kama wapo... Cc: Mahondaw