Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,415
- 30,132
heeee😀😀😀Kuna mshikaji wetu kaoa wa Kigoma, yule mwanamke anapiga kazi kama punda na jamaa alijiopolea tu huko Kigoma alivyoenda kazi za porini...
heeee😀😀😀Kuna mshikaji wetu kaoa wa Kigoma, yule mwanamke anapiga kazi kama punda na jamaa alijiopolea tu huko Kigoma alivyoenda kazi za porini...
Kama ni kweli basi bongo ni nomaMdogo wake/ pacha wake BITEKO Kakatwa kwakuwa siyo raiya wa Tanzania 🇹🇿. Huku BITEKO ni naibu wazir mkuu na atakuwa pm!
Hili limekaaje? Wale watu mapacha jamani
Hao manyang'au achana nao.......ni mapretender wakubwa .......ushirikina mbele na kutaka kuwatawala waume zao ndani hovyo kabisa hao watuWadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno
njoo PM basi
Mimi bado sija notice. Niki notice nitatoa tamko.Wadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno
nakujaaaaanjoo PM basi
Pitia kwangu, nikupe bakshishinakujaaaaa
IkungiHasnati HANJE YUPO WAPI??
ngoja nikiwa narudiPitia kwangu, nikupe bakshishi
Epuka uchawi mkubwa kutoka kwa hawa watu, watakupigia goti la kukuloga hadi kope za macho.Wadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno