Wanawake Wafupi ni wakorofi

Hivi urefu gani uliomaanishwa maana kuna wafupi kwenda juu na wafupi kwenda chini
[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafupi ni janga la karne, labda tusubiri toleo jipya, hili sio kabisa.
 
Aise alafu kawe kaembamba mbona utakoma hapo hujaingopa. Ila uhakika zaidi ile mijianamike minene haina shida mitulivu yakishashipa yao kuchamba tuu basi
 
Wakwangu alikuwa mkorofi sana ilikuwa haipiti miezi 6 kama hajawekwa ndani kisa ugomvi na watu, experience nyengine bana hahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…