Wanawake Wadangaji wamehamia Linkedin

Wanawake Wadangaji wamehamia Linkedin

Namsubiri mtu aliniambia anaomba anidange akawa kimyaaa mpaka leo
 
Nilishangaa sana nilipokuta selfie ya mdada yenye miondoko ya kiinsta insta, linkedin nilishangaa sana. Na ndio huyu huyu aisha anajiita CEO.

Labda udangaji sikuizi ni profession kama zilivo nyingine hivyo wameingia rasmi kwenye mtandao wa watu serious linkedin.
 
Kuna haja ya serikali kuhalalisha hii biashara sasa ili dada zetu wasipate shida huku asset wanayo, iwe ni rahisi kwao kuibadiliaha kua pesa kihalali.

Haiwezekani na haiingii akilini binti afe na njaa huku anamiliki mgodi unaotema madini muda wote, eti kisa tu serikali hainaweka mazingira ya wazi ya wao kuuza migodi yao.
Naunga mkono hoja
 
Mwenye kuelewa namna ya kutumia app ya Badoo aniekeze maana nimedown load ila kuchati na warembo nashidwa!!!!
 
Humu JF kumbe nako wapo?? Sijawahi kukutana nao.
 
Halafu nako kuna matapeli
Anakufuata ooh nimeelewa profile yako
Blah blah,kuna kazi naona utafit in kabisa nipe namba iliyoko hewani...
Ukiingia tu wanaanza zile mbinu zao za utapeli
Nilishatokewa na mmoja bahati nzuro nilumshitukia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom