Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,281
AmeenEeh Mwenyezi Mungu utuhurumiee[emoji22]
AmeenEeh Mwenyezi Mungu utuhurumiee[emoji22]
Me mshamba ndio wapi hukoKupatwa kwa linkedin
Sure mkuuMaisha magumu jamani...kuna nyuzi ukiziangalia hata humu unaelewa tu mtu anataka nn
Mi mwenyewe sijawahi hata kufika ukoMe mshamba ndio wapi huko
Acha niendelee kuwa mshamba tuMi mwenyewe sijawahi hata kufika uko
Sehem kama hizi hutakiwi kuonekana damuuuuuuuuuu coooooomonEeh Mwenyezi Mungu utuhurumiee[emoji22]
Bado Twitter tu,..
Mmh, LinkedIn ni mtandao wa professionals, kwamba huujui au unatuchora?Me mshamba ndio wapi huko
Shemeji wala sikuchori ndio kwanza nimeusikia leo me ni WhatsApp na jf tuMmh, LinkedIn ni mtandao wa professionals, kwamba huujui au unatuchora?
Sehemu nzuri ya kujinadi na kujionyesha hasa kwenye career yako.
Nitapatafuta huko Linkedin nipaone