Wanawake wa simba wakitukabidhi kombe

Wanawake wa simba wakitukabidhi kombe

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
Hii ndio fair play sasa

Wamatopeni mmekua na kupevuka sasa

upload_2017-5-20_19-16-50.png
 
simba wana warembo,embu weka wanawake wa yanga wakishangilia kombe mana yanga inavibibi kibao kwa kuwa washangilizi wake wengi ni vibibi vya ccm
 
Halafu hii tabia ya kupost picha za warembo bila namba ni dharau na unyanyasaji
 
Mleta mada usiseme 'wanawake wa Simba' bali sema 'Wanawake Simba'
 
Dah! Huyu wa kulia huyu kama nilimuona sehemu....Ngoja kwanza.
 
simba wana warembo,embu weka wanawake wa yanga wakishangilia kombe mana yanga inavibibi kibao kwa kuwa washangilizi wake wengi ni vibibi vya ccm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji113]
 
Back
Top Bottom