Wanawake wa siku hizi mbona mmekuwa warahisi hivi? Mkishajua mwanaume ana kazi nzuri mnalainika

Mkuu ni hivi, hiyo ni tabia ya wanawake wote, wa zamani na hao unaosema wa sasa.

Kiasili mwanamke wa kibongo anapenda mtu mwenye kazi inayomwingizia pesa, FULL STOP.

Tatizo wanalopata ni kujua m'me yupi ana/hana kazi. Na hasa kwa sababu kada nyingi watu wake hawavai sare rasmi za kuwatambulisha.

Ndo maana unakuta wanajeshi, mapolisi, bodaboda, wakaanga chipsi, waziba pancha wanashobokewa sana kitaani kwa sababu wanatambulika kirahisi.

Unakuta mrembo mkali aliyekupiga chini wewe mwenye ofisi kubwa (lakin isiyo na sare) anaishia kwa mkaanga chipsi.

Suluhu kwa wasio na sare ni kuongeza matumizi (toa ofa bwerere, kuwa na gari kali) hadi wakusome vizuri kitaa.
aseeeee!
eebanaae!
tin tapa tiiiin!

juzi kati hapa nikiwa maeneo flani ya town nikiwa ndani ya usafiri wa UBER, nilishuka sehemu moja hivi ni duka la nguo, wakati nashuka kwenye ile gari dada anaeuza duka aliniona.

nikaingia pale shop nikaanza kuchagua nguo, yule dada akaanza kunisaidia kuchagua nguo huku akisifia nguo zake anazouza kua ni nzuri.

basi nilipomaliza kuchagua nguo nikalipia akanifungashia, ila kabla ya kuondoka nikaona nijilipue nimuombe namba ili tuwasiliane zaidi, hhaaahahahha! namuomba namba et ananiuliza "kwani wee unafanya kazi gani??!"

duuh! nikaelewa anachotaka, nikamwambia kua mimi ni MSIMAMIZI,MUANGALIZI NA MUANDAMIZI katika MANAGEMENT ya KAMATI ya UTUMISHI wa UMMA, chini ya WIZARA ya OFISI ya TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI) inayoongozwa na Ndugu Suleiman Jaffo

duh! alivyosikia huo wazfa alikimbilia pochi yake fasta akachukua simu Akaniambia niandike namba zangu, nikamwambia anipe zake nitamtafuta lakin akataka yeye ndio awe na zangu akiwa na hofu sitamtafuta.

akaandika namba zangu kwenye iPhone yake fasta huku akitabasamu.

tokea jana anasumbua balaa aseeee nimemuambia kwasasa nipo busy na vikao na kaniahidi jpili niende nikamtafune asee!
 
Mkuu ni hivi, hiyo ni tabia ya wanawake wote, wa zamani na hao unaosema wa sasa.

Kiasili mwanamke wa kibongo anapenda mtu mwenye kazi inayomwingizia pesa, FULL STOP.

Tatizo wanalopata ni kujua m'me yupi ana/hana kazi. Na hasa kwa sababu kada nyingi watu wake hawavai sare rasmi za kuwatambulisha.

Ndo maana unakuta wanajeshi, mapolisi, bodaboda, wakaanga chipsi, waziba pancha wanashobokewa sana kitaani kwa sababu wanatambulika kirahisi.

Unakuta mrembo mkali aliyekupiga chini wewe mwenye ofisi kubwa (lakin isiyo na sare) anaishia kwa mkaanga chipsi.

Suluhu kwa wasio na sare ni kuongeza matumizi (toa ofa bwerere, kuwa na gari kali) hadi wakusome vizuri kitaa.
kweli aiseee
 
Umewasahau ndugu zetu Wanasheria wao kazi yao ni suti deile, na Mademu wanavyo shobokea suti wanajua kila mwanasheria ana hela kumbe sio kweli
 
😂😂😂😂😂
Mkuu kipepe umepotelea WApi!?
Juzi kati hapa nikiwa maeneo flani ya mjini nikiwa ndani ya usafiri wa Uber, nilishuka sehemu moja hivi ni duka la nguo, wakati nashuka kwenye ile gari dada anaeuza duka aliniona.

Nikaingia pale dukani nikaanza kuchagua nguo, yule dada akaanza kunisaidia kuchagua nguo huku akisifia nguo zake anazouza kuwa ni nzuri.

Basi nilipomaliza kuchagua nguo nikalipia akanifungashia, ila kabla ya kuondoka nikaona nijilipue nimuombe namba ili tuwasiliane zaidi. Hhaaahahahha! namuomba namba eti ananiuliza "Kwani wee unafanya kazi gani?”

Duuh! Nikaelewa anachotaka, nikamwambia kuwa mimi ni Msimamizi, Muangalizi na mwandamizi katika Uongozi wa Kamati ya Utumishi wa Umma, chini ya Wizara ya Ofisi ya TAMISEMI inayoongozwa na Ndugu Suleiman Jaffo

Duh! Alivyosikia huo nyadhifa alikimbilia pochi yake fasta akachukua simu Akaniambia niandike namba zangu, nikamwambia anipe zake nitamtafuta lakin akataka yeye ndio awe na zangu akiwa na hofu sitamtafuta.

Akaandika namba zangu kwenye iPhone yake fasta huku akitabasamu.

Tokea jana anasumbua balaa aseeee nimemuambia kwasasa nipo busy na vikao na kaniahidi Jumapili niende nikamtafune asee!
 
Siku hizi wanapenda slope....yan wakiona una uelekeo tu....mbn utachapa wengi

Kuna mdada akajifanya kubeba na mimba kisha mwamba akamkataa...!!ndo ameshazaa...!!baba hajulikani
 
Juzi kati hapa nikiwa maeneo flani ya mjini nikiwa ndani ya usafiri wa Uber, nilishuka sehemu moja hivi ni duka la nguo, wakati nashuka kwenye ile gari dada anaeuza duka aliniona.

Nikaingia pale dukani nikaanza kuchagua nguo, yule dada akaanza kunisaidia kuchagua nguo huku akisifia nguo zake anazouza kuwa ni nzuri.

Basi nilipomaliza kuchagua nguo nikalipia akanifungashia, ila kabla ya kuondoka nikaona nijilipue nimuombe namba ili tuwasiliane zaidi. Hhaaahahahha! namuomba namba eti ananiuliza "Kwani wee unafanya kazi gani?”

Duuh! Nikaelewa anachotaka, nikamwambia kuwa mimi ni Msimamizi, Muangalizi na mwandamizi katika Uongozi wa Kamati ya Utumishi wa Umma, chini ya Wizara ya Ofisi ya TAMISEMI inayoongozwa na Ndugu Suleiman Jaffo

Duh! Alivyosikia huo nyadhifa alikimbilia pochi yake fasta akachukua simu Akaniambia niandike namba zangu, nikamwambia anipe zake nitamtafuta lakin akataka yeye ndio awe na zangu akiwa na hofu sitamtafuta.

Akaandika namba zangu kwenye iPhone yake fasta huku akitabasamu.

Tokea jana anasumbua balaa aseeee nimemuambia kwasasa nipo busy na vikao na kaniahidi Jumapili niende nikamtafune asee!
Kula mzigo pita hiv hkuna mapenz hpo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom