Wanawake wa SHOKA.....!

Stimu inataka kukatika ngoja nikimbie huku hakufai.
 
Huyo wa mwisho ndo mwanamke wa shoka...hao wengine hamna kitu.
 
Ahsante mkuu ila wengine wanatisha. Pia kwa hiki kizazi cha sasa cha ubabe ni vizuri dada zetu wakajiweka vizuri kabla ya ndoa.
 
Mi hyo Bi harusi tu,, inaonesha jinsi gani anaipenda kazi yke LOL
 
Mtambuzi nilijua unawaweka wa humu jf
daaah,
Mzima lakini.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…