Sikulazimishi kama hautaki kuamini
Yupo mmoja nilimkuta anafanya kwa kua nilimpenda na mazingira ya sehemu aliyoajiriwa pamoja na ugumu wa kazi aliyokua anaifanya sikufurahishwa nayo nikaamua kumfungulia biashara yake mwenyewe na kwa siku anaingiza si chini ya 50,000/- lkn bado haoni hata aibu kuniomba nimnunulie kitu cha 10,000/- na sio kua anaomba mara moja moja.
Umatonya upo damuni karibia wanawake wengi kwa sasa.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk