Baadhi ya wanaume mnachosha kwa kulalamika aisee huna pesa kabla hujatongoza mwambie mwanamke mapema mimi Sina pesa yeye ndio atakua muamuzi akubali ama la, Tatizo hamuwezi kusema ukweli mkija ahadi kibao oooh nitakuoa nikubali , oooh pesa kwangu sio tatizo why mwanamke asiombe.Habari za wakati wana jukwa!
Dunia inaenda kasi saana hasa kwa wadada.
Ukitongoza mwanamke akikubali muwe wapenzi baada ya siku 2 tu yafuatayo yanatokea.
1.Utaletewa mahitaji meeengi yake kama vile,pesa,sijui hiki wala kile.
Sasa kabla ya kupata mwanaume ulikua unaishije?
Je hapo kuna mapenzi au umepata pa kutatulia shida?
2.Utaitwa mme.
Kama siku 2 tu nakua mme je nitakuaoa kweli?
Au mimi tu ndio nakutana na haya kwenu hali ikoje?
Mkuu wengine ni uwongo tu wanatunga.Hivi nyie hao wanawake mnawaokotaga wapi! Mbona kila siku nyie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana wapa picha mbaya sana Dada zetuMkuu wengine ni uwongo tu wanatunga.
Kweli kabisa mkuu
YatimaKama unatongoza na kujikweza tegemea kua ATM machine...tegemea kuitwa Baba pia
Sent using Jamii Forums mobile app
nimueleze uchumi wangu kwani naenda kufanya uwekezaji kwamba niseme ninamtaji kiasi gani?Kabla hujakuwa na mwanamke kwenye mahusiano muambie/mueleze hali halisi kuhusu wewe kiuchumi upo vizuri ama la.
Utasikia baby njaa inauma ... hapo umepewa namba saa 4 asubuhi text unatumiwa saa 8Baba hayo tumeshayazoea sisi.
Wewe hadi siku 2 zipite?
Sisi huku ni siku hiyo hiyo unaitwa majina yote ya mahaba.
Sawanimueleze uchumi wangu kwani naenda kufanya uwekezaji kwamba niseme ninamtaji kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo la baadhi ya wanaume tunapotongoza huwa tunajikweza sana.