Nimecheka mnooMkuu usiumize kichwa mapenzi gazeti.
Raha yake usome na kumuachia mwenzio ukitaka ukumbatie usome mpaka yale maneno ya nakala kwa Mkuu wa Posta na ISBN number itaku cost.
Wanawake wapo kimaslahi siku hizi wewe usiumize kichwa kuitwa Mume, My Airbus,My Love n.k.
Ewaaa,na ukijikweza sana lazima ukomeshwe.tatizo la baadhi ya wanaume tunapotongoza huwa tunajikweza sana.
Ngoja na mimi niijaribu hii kitu kama ni ya kweli.ila nasubiria miezi walau april hadi may...nioneHabari za wakati wana jukwa!
Dunia inaenda kasi saana hasa kwa wadada.
Ukitongoza mwanamke akikubali muwe wapenzi baada ya siku 2 tu yafuatayo yanatokea.
1.Utaletewa mahitaji meeengi yake kama vile,pesa,sijui hiki wala kile.
Sasa kabla ya kupata mwanaume ulikua unaishije?
Je hapo kuna mapenzi au umepata pa kutatulia shida?
2.Utaitwa mme.
Kama siku 2 tu nakua mme je nitakuaoa kweli?
Au mimi tu ndio nakutana na haya kwenu hali ikoje?
MaskiniiiSi ndo tunapata pa kutua shida zetu
Habari za wakati wana jukwa!
Dunia inaenda kasi saana hasa kwa wadada.
Ukitongoza mwanamke akikubali muwe wapenzi baada ya siku 2 tu yafuatayo yanatokea.
1.Utaletewa mahitaji meeengi yake kama vile,pesa,sijui hiki wala kile.
Sasa kabla ya kupata mwanaume ulikua unaishije?
Je hapo kuna mapenzi au umepata pa kutatulia shida?
2.Utaitwa mme.
Kama siku 2 tu nakua mme je nitakuaoa kweli?
Au mimi tu ndio nakutana na haya kwenu hali ikoje?
hahahahahaUsipate shida km unacho ww mpe na Mungu atakuongozea huku kitaani kwetu madem wa hivyo huwa tunawaita MAYATIMA hapo nadhani utakua umenipata yatima ni kiumbe wa aina gani
Mkuu usiumize kichwa mapenzi gazeti.