Wanawake wa sasa bila UBABE hawaendi

Wanawake wa sasa bila UBABE hawaendi

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,491
Wana Jukwaa mpo?
Dunia inaenda kasi sana hawa viumbe aka wanawake wamekua na viburi sana. Wanawake wa sikuhizi ukiishi nae kwa kumlambalamba atakusumbua yaaani wanataka uwe unachapa vibao na fimbo kabisa hapa ndo utakuta discpline inakwepo otherwise utapata tabu.

Wanawake hivi bila ubabe au unyama hamwez kwenda?? Mnapenda tuwe wababe.
 
Katika la msingi ambalo nazani nitakupatia ni kuwa"Umeoa warmate and not soulmate "Kila la heri mkuu

Huyo wako ndiyo wakuchapa fimbo.....wenzio tunachapwa na vitenge na mapenzi motomoto
 
Pole sana...

Mwanamke hapelekwi kibabe... kama humuwezi achana nae kwa amani...

Cc: mahondaw
 
Katika la msingi ambalo nazani nitakupatia ni kuwa"Umeoa warmate and not soulmate "Kila la heri mkuu
Mi nashauri aoe wanawake wa zamani, wa siku hizi awaachie mwenyewe. Ni kiherehere chake kupanga ni kuchagua
 
Huyo mkeo kakusumbua huko unakuja mbiombio kutuandikia wanawake bila ubabe hawaendi.
 
Siku moja nilimuuliza babu yangu kwanini ndoa nyingi za zamani zilikuwa zinadumu, akaniambia wanawake wa zamani hawakuwa na uhuru kama wa sasa, zamani kipigo kilitumika kuwarudisha kwenye mstari.
 
kuna ukweli ndani yake mana mikoa ya pwani hawawapeleki kibabe wanaachana kila siku mtaani nakoishi % 85 ya kaya kuna mabinti wako kwao wameachika mikoa ya bara ambako ubabe unatumika sana kuna unafuu mkubwa ndoa zinadumu tofauti kabisa na huku pwani ambapo wanaume wengi sio wababe kwenye ndoa zao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom