rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
ndio maana mam kila jumamosi hukosi kutengeneza kucha? naona pale mwenge wamewawekea mpaka na sofas,Ujue hata mamaa akienda kuoshwa miguu ndo hivyo hivyo,
tena wanakuosha kama wanakukuna fulani hivi.
mkuu majaribu yamezidi bora turudie enzi zetu za kunyoa na mkasiaaah......bora saluni zetu zile za zamani za chini ya mti
sasa usiwe unaaga kila siku unakwenda huko, utashitukiwa, kucha gani zinarefuka after every 24 hrs..
hahahaaaaa!!na sisi huko
kwny kucha usipime,ukioshwa
miguu ndio kabisaaaa we acha tuuu!!
ndio maana mam kila jumamosi hukosi kutengeneza kucha? naona pale mwenge wamewawekea mpaka na sofas,
ndio maana mam kila jumamosi hukosi kutengeneza kucha? naona pale mwenge wamewawekea mpaka na sofas,
Loh mapenzi yenu yananikosha sana, kumbe mpaka umri huo mam Babu bado anakuonea wivu tu..basi ulikua kigori sana enzi zenu za disko vumbiHa ha haaa
Halafu sijaenda tena,
baba yako amesema atakuwa ananiosha miguu yeye;
eti kumbe na wazee wanaonewa wivu, loooh, ha ha haaa.
hao jamaa hatari kubwa kuliko alshabaabjamaa wabaya waleee, shauri yako wechekelea...
sasa usiwe unaaga kila siku unakwenda huko, utashitukiwa, kucha gani zinarefuka after every 24 hrs..
ndevu zinakua haraka kuliko kucha jamani...
kuaga nitaaga tu
kama yeye anavyoaga
akienda kunyoa!!
hao jamaa hatari kubwa kuliko alshabaab
na wamama wanawapendaje....!
Yaani Kibanga we acha tu!!! na wenyewe wanajua tunawapenda kwa hiyo wanajitumaje!!!!