GE2025 Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kumpokea Dkt. Emmanuel Nchimbi

GE2025 Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kumpokea Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Vituko vinaendelea huko! Pesa zinasakwa jamani kwa kila njia

Yani unajidhalilisha kisa mtu ambae akitoka hapo akukumbuki tena. Ni Huzuni kwa kweli
===========================

Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kwa furaha wakati wa mapokezi ya mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi alipowasili katika Uwanja wa soko wa TASAF katika Kata ya Nyamwage.

20251009_153011.jpg
 
20251009_145515.jpg
 
Yani inabidi tutawalile tena na wakoloni miaka 100 plus
 
Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kwa furaha wakati wa mapokezi ya mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi alipowasili katika Uwanja wa soko wa TASAF katika Kata ya Nyamwage.
 
Ukiona mtu anashabikia ccm ujue ana maslahi nayo au ana upungufu wa akili au ni mzee umri ulioenda ana amini nyerere ni cheo
 
Duh.......umasikini wa hali ya juu miundombinu hasa barabara mbovu bado watu wanagalagala chini kumuabudu mtu zama hizi jamani? Kutoka Nyamwage kwenda Somanga mpka Nangulukulu/ Kilwa mpka Lindi barabara mbovu toka Nyamwage mpaka Njopeka njoo mpka Kisemvule mpaka Mbagala nako barabara hoi. Toka Somanga fika Njia 4 itafute Chumo, Nguchuchu, Kipatimo kata MT pale elekea Kandawale, Mtumbei nk umeasikini wa kutupwa
 
Hao km ndo unakuta mke ama dada yangu yaan akiwa na shida akipiga simu unapokea harafu unamwambia .... Nenda kwa walio kuvua utu wako wakakusaidie nyau ww
 
Ogopa sana umaskini wa akili,halafu huna taarifa sahihi za nchi yako
 
Back
Top Bottom