Wanawake wa mtoto 1 au 2 wanasababisha Michepuko!!

Wanawake wa mtoto 1 au 2 wanasababisha Michepuko!!

Status
Not open for further replies.
Huo utafiti mdogo umeufanya kwa wanawake wangapi?
Udhaifu wa mkeo usi generalize kuwa ndio udhaifu wa wanawake wote,wengine wanazaa hata mara nne na bado ngoma inogile mule mule.
Kuchepuka ni hila ya mtu tu,unaweza ujitume mpaka uteguke viungo ila kutoka kukawa pale pale!!
Nakuunga mkono asilimia zote
 
We ni socialogist kweli? Lamchina anasema ukweli usiopingika.Mwanamke AZAAPO anathamini mtoto wake kuliko chochote na anakuwa kama 'adicted' na penzi la mtoto, kwa namna fulani haoni wala hasikii penzi zaidi ya hilo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom