Wanawake wa mtoto 1 au 2 wanasababisha Michepuko!!

Wanawake wa mtoto 1 au 2 wanasababisha Michepuko!!

Status
Not open for further replies.

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi zimepooza siku hizi hasa pale mwanamke anapata mtoto.

Mapenzi kabla ya kupatikana mtoto huwa ya moto moto ikiambatana na manjonjo ya kila aina inayowafanya vijana kurudi nyumbani mapema.

Katika utafiti wangu mdogo wanawake wengi mara baada ya kuzaa mtoto wa kwanza mapenzi hupungua akiongeza wa pili ndo kabisa hashughuliki tena kabisa kitandani.

Hii imechangia kwa kiasi kikubwa wanaume kuchelewa kurudi nyumbani na hata kutafuta vipoozeo mbadala kwa ajili ya kukata kiu ya mapenzi.

Wanawake mbadilike muuendelee kuwa active kitandani na care zote kwa Mme la sivyo mtaletewa magonjwa na nyumba ndogo hazitaisha.

Lakini cha kushangaza wanawake hao hao wakichepua nje kwa waume wa zamani au marafiki wanatoa mapenzi ya kutisha na kuwapagawisha hao hata kuwahonga magari na vitu vya thamani......why not at home?
 
Huo utafiti mdogo umeufanya kwa wanawake wangapi?
Udhaifu wa mkeo usi generalize kuwa ndio udhaifu wa wanawake wote,wengine wanazaa hata mara nne na bado ngoma inogile mule mule.
Kuchepuka ni hila ya mtu tu,unaweza ujitume mpaka uteguke viungo ila kutoka kukawa pale pale!!
 
Mpenzi Ennie, huu utafiti nimefanya kwenye mtaa wangu for more than 25 sample size. Mi ndo niko kwenye harakati ya kuoa lkn totally disappointed
 
  • Thanks
Reactions: ehm
Na nyie wanaume mnapochepuka mnakuwa mmezaa watoto wangapi?
 
Na nyie wanaume mnapochepuka mnakuwa mmezaa watoto wangapi?

Si unajua dume lina millions of mbegu anaweza kuzalisha as much as he can...ila kwa wanawake panakuwepo na morphological changes ambayo yawezekana inaleta libido
 
Mpenzi Ennie, huu utafiti nimefanya kwenye mtaa wangu for more than 25 sample size. Mi ndo niko kwenye harakati ya kuoa lkn totally disappointed

mh! more than 25 sample size ,ndo nini? hapo ze inglishi 4rm ze moon eh?
 
Si unajua dume lina millions of mbegu anaweza kuzalisha as much as he can...ila kwa wanawake panakuwepo na morphological changes ambayo yawezekana inaleta libido

kama kweli unadhan kwa wanaume ni halali kuchepuka, Usioe maana hujakua.
 
Michepuko sio dili lakini wakati mwingine inabidi
 
Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi zimepooza siku hizi hasa pale mwanamke anapata mtoto. Mapenzi kabla ya kupatikana mtoto huwa ya moto moto ikiambatana na manjonjo ya kila aina inayowafanya vijana kurudi nyumbani mapema. Katika utafiti wangu mdogo wanawake wengi mara baada ya kuzaa mtoto wa kwanza mapenzi hupungua akiongeza wa pili ndo kabisa hashughuliki tena kabisa kitandani. Hii imechangia kwa kiasi kikubwa wanaume kuchelewa kurudi nyumbani na hata kutafuta vipoozeo mbadala kwa ajili ya kukata kiu ya mpz. Wanawake mbadilike muuendelee kuwa active kitandani na care zote kwa Mme la sivyo mtaletewa magonjwa na nyumba ndogo hazitaisha. Lakini cha kushangaza wanawake hao hao wakichepua nje kwa waume wa zamani au marafiki wanatoa mpz ya kutisha na kuwapagawisha hao hata kuwahonga magari na vitu vya thamani......why not at home???????

Hizi bange hizi ......!!!!!!!!
 
Huo utafiti mdogo umeufanya kwa wanawake wangapi?
Udhaifu wa mkeo usi generalize kuwa ndio udhaifu wa wanawake wote,wengine wanazaa hata mara nne na bado ngoma inogile mule mule.
Kuchepuka ni hila ya mtu tu,unaweza ujitume mpaka uteguke viungo ila kutoka kukawa pale pale!!
kujituma siyo kutegua viungo wewe!
 
pamoja na utafit dhaifu uliofanywa lakin kuna ukweli wake hata hivyo wanawake wanapozaa huwa wanajichoka wenyewe hivyo ujishusha thaman yao hata kujiremba na kujiudumia kunaisha, ila wapo wanaozidi kujijali kwa hali zote
 
Yaani mwanamke awe active ili usimletee nyumba ndogo na magonjwa? Kwani hayo magonjwa anakufa peke yake na wewe kubaki?

Au huko nyumba ndogo anaenda kutumika yeye au wewe?

Mie nadhani kuwa mwaminifu ni heshima yako mwenyewe, kumbe ni kinga ya nyumba ndogo?

Yaani mkeo yuko bize naa kulea, hajaomba haki sawa na wewe ubadili nepi, afu unamtishia kumletea magonjwa?

What a waste! Bora kuwa na dildo kuliko mme wa aina hii. Shame shame!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom