25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,807
- 3,739
hakuna hakuna muingiliano wetu kama njombe makambakoKama Wanawake wa Singida, Manyara na Kondoa ni Wapesi.
Kwanini kwenye Mikoa yao Kwenye Maambukizi ya HIV iko Nyuma.
hakuna hakuna muingiliano wetu kama njombe makambakoKama Wanawake wa Singida, Manyara na Kondoa ni Wapesi.
Kwanini kwenye Mikoa yao Kwenye Maambukizi ya HIV iko Nyuma.
Kuna tofauti gani kati ya mnyantuzu na msukuma?Acha uongo wewe ni mnyantuzu sio msukuma
Hapo mwenyewe umeandika tofauti zao. Kuwa ni mnyantuzu na msukuma. Hiyo ni tofauti tayariKuna tofauti gani kati ya mnyantuzu na msukuma?
Nilikuwa nauliza kwanini umepewa BANNED kumbe ni kwa huu Upuuzi wako? Unastahili.
Navofahamu mnyantuzu ni wasukuma weupe, ni jamii ya kabila la Wasukuma.Hapo mwenyewe umeandika tofauti zao. Kuwa ni mnyantuzu na msukuma. Hiyo ni tofauti tayari
Duuhh jamaa ana kapaja kadogo.
Umeisha wewe,nadhani wajaluo nao wanafuatiaNiko naye mkuu namsomesha chuo kikuu na hapa nimedrive 250km kumfuata anakuja likizo atafikia kwangu
Kuna makala moja nilisoma kuwa, wakati wanyaturu wanatoka huko kwao Ethiopia, Walipita na kuweka makao ktk hayo maeneo wanayoishi wanyatunzu wasasa. Hivyo basi kulikuwa na intermarriage na baadhi ya wasukuma. Kwahiyo mnyantunzu ni mchanganyiko wa mnyaturu na msukumaNavofahamu mnyantuzu ni wasukuma weupe, ni jamii ya kabila la Wasukuma.
nipo igungaKiongozi Oa Upo Wapi Sasa Hivi
Kuna makala moja nilisoma kuwa, wakati wanyaturu wanatoka huko kwao Ethiopia, Walipita na kuweka makao ktk hayo maeneo wanayoishi wanyatunzu wasasa. Hivyo basi kulikuwa na intermarriage na baadhi ya wasukuma. Kwahiyo mnyantunzu ni mchanganyiko wa mnyaturu na msukuma
Hiyo makala ilikuwa na ushahidi wa kihistoria, ikiwemo miti iliyopandwa na wanyaturu huko kwa Wanyantunzu wa sasa.
Ilikuwa kwenye gazeti, ni siku nyingi. Unaweza ku googleInaitwaje hiyo makala
Wasabahi Mwanzugi rafikinipo igunga
Shelui,sekenke,mgongolo,,,,,,dahMbona hutaji shelui? Wa huko Wana tabia nzuri?
Sasa Unasogea Chap Unaanza Irambaa Unasogea Mpaka Chemba, Kondoanipo igunga
Hakuna ulichokimbia apoMimi kwetu singida ila sijawakubali sana nineamua niopoe huku kwa kina mama Salma kikwete jimboni mchinga karibu Na kina membe
Wanyakyusa wasafa, wahaya,wapogoro ni weupe?Niko naye mkuu namsomesha chuo kikuu na hapa nimedrive 250km kumfuata anakuja likizo atafikia kwangu