Wanawake wa mitandaoni

Wanawake wa mitandaoni

kipusy

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
639
Reaction score
323
Jaman wana JamiiForums, wanajamvi. Hivi mtu unaweza ukatongoza mpaka kuoa mwanamke ambae umemtongoza mitandaoni "social networks" bila kuonana akakubali kwa kuona picha tu? Je atakua mwaminifu kwenye ndoa yake?

NAWASILISHA WANAJAMVI.
 
Jaman wana jf, wanajamvi. hivi mtu unaweza ukatongoza mpaka kuoa mwanamke ambae umemtongoza mitandaoni "social networks" bila kuonana akakubali kwa kuona picha tu? je atakua mwaminifu kwenye ndoa yake????
NAWASILISHA WANAJAMVI.
Inawezekana endapo wewe muhusika unajua maana ya Kutongoza ni nini na maana ya Kuoa au Kuolewa ni nini?
Usikurupuke katika masuala ya msingi yanayohusu maisha yako,
 
Mahusiano ya mtandaoni ni changamoto sana...ngoja wadau waje watiririke.....
 
BADOO IMEJAA MASHOGA SANAA...UKIKURUPUKA UNAWEZA KUTONGOZA PUNGA.FB UTOTO MWINGI HAKUNA UWALISIA..jamii kidogo afadhali ila watu wana flirt tu sio serious ukaona unapendwa kweli.mkuu hivi utajisikiaje familia yako inakuuliza eeeh tupeni ka historia chenu cha mapenzi mme kutania wapi........eti facebook hahaha.mzee utaangukia pua.wengine vicheche,wameungua,matapeli,majambazi,
 
Jaman wana jf, wanajamvi. hivi mtu unaweza ukatongoza mpaka kuoa mwanamke ambae umemtongoza mitandaoni "social networks" bila kuonana akakubali kwa kuona picha tu? je atakua mwaminifu kwenye ndoa yake????
NAWASILISHA WANAJAMVI.

ww binafsi unaonaje?
Hebu imagine ww ndio umeombwa ushauri na mdogo wako
 
Humu kuna magubegube na magumegume yaliyoshindikana hakuna mume wala mke. Usibishe jaribu uone....
 
jamani mbona mi nimepata humu humu.... kazana kaka wapo wengi tu, tena visu kuliko unaowaona huko alaf wapole lol!!!
 
Afu ndio eti uoe, khah! Vijana wana mbwembwe siku hizi. Kutongozwa live on stage kuna raha yake.

Sijawahi huona Simba Mfalme wa Pori anawinda sanamu la swala...!!!

Online dating ni playground ya wasio na uwezo wa kuwinda...
 
inategemea na njinsi mazungumzo yenu yalivyo kama niyauwadhi au siyo uwadhi
 
hao wa huku mitandaoni si ndio hao hao wa mtaani


Sio. Ukiona mtu anakuja tafuta mchumba/mke humu ujue ameshaharibu huko mtaani na ameshindikana, waliowengi walishaachwa na wamechanganyikiwa kimaisha. Hebu fikiria ni kwa nini usitafute mchumba unayemuona na kumpenda badala yake ukaja kurusha jiwe gizani? pana walakini hapo
 
Afu ndio eti uoe, khah! Vijana wana mbwembwe siku hizi. Kutongozwa live on stage kuna raha yake.

Na mleta mada anakwambia unatangaza ndoa pasipo hata kumtia machoni...

Picha zake tu za mtandaoni ziwe kigezo tosha cha kuugaragaza moyo hadi kidume uamue kuuaga ukapera...

Aisee ndio maana kila Mbongo anaweza kuigiza Bongo movie...:becky:
 
Back
Top Bottom