Jason Statham2 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 696 Reaction score 1,018 Sep 28, 2018 #81 Mama Sabrina said: Hahahaha tunatembeaje Click to expand... Munatanua sana miguu na hatua ndefu kama mko kwenye mashindano ya kuruka viunzi. inakera demu yuko bomba lakini huo mwendo daahh.
Mama Sabrina said: Hahahaha tunatembeaje Click to expand... Munatanua sana miguu na hatua ndefu kama mko kwenye mashindano ya kuruka viunzi. inakera demu yuko bomba lakini huo mwendo daahh.
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,599 Sep 28, 2018 Thread starter #82 Jason Statham2 said: Munatanua sana miguu na hatua ndefu kama mko kwenye mashindano ya kuruka viunzi. inakera demu yuko bomba lakini huo mwendo daahh. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuacheee
Jason Statham2 said: Munatanua sana miguu na hatua ndefu kama mko kwenye mashindano ya kuruka viunzi. inakera demu yuko bomba lakini huo mwendo daahh. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuacheee
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,267 Reaction score 54,693 Sep 28, 2018 #83 kombaME said: Sifa za kijinga.. wanawake wenzenu wamefanya mapinduzi makubwa kwenye sayansi na uchumi nyinyi huku mnaona ufahari kula ugali na nyanya chungu Click to expand... Wanawake wenzao wapi hao? mkoani haimaanishi ni kijijini. Kuna mikoa iko vizuri kimaendeleo. Si watu washamba kama unavyodhani.
kombaME said: Sifa za kijinga.. wanawake wenzenu wamefanya mapinduzi makubwa kwenye sayansi na uchumi nyinyi huku mnaona ufahari kula ugali na nyanya chungu Click to expand... Wanawake wenzao wapi hao? mkoani haimaanishi ni kijijini. Kuna mikoa iko vizuri kimaendeleo. Si watu washamba kama unavyodhani.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,405 Reaction score 88,864 Sep 28, 2018 #84 mkuu hivi unaujua vizuri utamu wa chips zege na mishkaki? hasa upate ile zege imejaa vitunguu na nundu pembeni na pepsi bariiiidi. acha kabisa Detective J said: Wanawake wa mikoani wanawake kazi. Kula vitu heavy kwa shughuli za uhakika. Lakin sio kama unawasema wadada wa dar.. wazee wa mishkaki na zege? Click to expand...
mkuu hivi unaujua vizuri utamu wa chips zege na mishkaki? hasa upate ile zege imejaa vitunguu na nundu pembeni na pepsi bariiiidi. acha kabisa Detective J said: Wanawake wa mikoani wanawake kazi. Kula vitu heavy kwa shughuli za uhakika. Lakin sio kama unawasema wadada wa dar.. wazee wa mishkaki na zege? Click to expand...
P Prince jr 47 JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 285 Reaction score 246 Sep 28, 2018 #85 Hapo ute unatoka had raha
C CTX JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,273 Reaction score 987 Sep 30, 2018 #86 Msosi wa nguvu