Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Duuh kweli siaminiki namna hii hapa duniani? yani hadi mkeka unathaminika kuliko mimi?Hiyo ulfu tano bora niizungushe kwenye biko/tatu mzuka au mkeka kuliko kuichezea pata potea kwako
😂😂😂 Dawa ya kiburi ni jeuri, hujapata kiboko yakoYapi hayo? Funding your lifestyle is NOT my business!
Nitume nauli dola ngapi aje?Mtuwache jamani khaaa View attachment 909236
[emoji23][emoji23][emoji23] Ukimaliza kuoga hayo maji chumvi piga picha unitumie nione kama umetakata na taka zote zimeisha mwiliniDuuh kweli siaminiki namna hii hapa duniani? yani hadi mkeka unathaminika kuliko mimi?
Ngoja nianze ratiba ya kwenda baharini kuoga maji ya chumvi.
Naunga mkono hoja.Yapi hayo? Funding your lifestyle is NOT my business!
Karibu hapa Rainbow tupate moja baridi moja ya moto mpenzi![emoji5][emoji5][emoji5]Nashukuru mpenzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukimaliza kuoga hayo maji chumvi piga picha unitumie nione kama umetakata na taka zote zimeisha mwilini
Karibu hapa Rainbow tupate moja baridi moja ya moto mpenzi![emoji5][emoji5][emoji5]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] poa mkuu nilikuwa najaribu kuwasemea Hawa dada zangu.Mkuu leo tunazungumzia wanawake wa mkoani, wanaume wa darisalama mtupumzishe kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] poa mkuu nilikuwa najaribu kuwasemea Hawa dada zangu.
Leo tunaanza na chakula mixer pombe kali mpenzi![emoji30][emoji30][emoji30]nakuja mpenzi ila niagizie chips mayai watie vitunguu na makange ya virigisi hapo bata point. Najiandaa chap nakuja hapo na kwangu kama 5mins kwa bajaj.. Nitumie kabisa nauli ya bajaj
[emoji57][emoji57][emoji57]Naunga mkono hoja.
Nishakutumia kwa namba ya zantel[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitumie basi buku mbili ya bando nikutumie hizo picha baada ya dk 5.
Huo mdomo ukiuzoesha kukaa hivyo, utajikuta unapata kiharusi.[emoji57][emoji57][emoji57]
Ewaah, haya ndo maneno.Nishakutumia kwa namba ya zantel
Wewe wa kwako mbona haujarefuka japo una miaka kadhaa ukiwa umeuvuta?[emoji848]Huo mdomo ukiuzoesha kukaa hivyo, utajikuta unapata kiharusi.
Usiponitumia hizo picha utaitapika ulfu tano yangu[emoji123]Ewaah, haya ndo maneno.
Halafu nisaidie kuwauliza wanawake wa mkoani, kwa nini hawatoi taarifa kwa wenyeji wao wanapokuja kuwatembelea? Eti unashtukia yupo mlangoni eti anakusapraiz khaaa! Nani kawafundisha?Wanawake wa mikoani mkoje kwa nini mkitaka kwenda Dar mnaomba mtumiwe nauli??