Wanawake wa Mikoani mkoje?

Kama huna hata alfu tano ya kukupeleka benki, ninawasiwasi hata kadi yako ya benki ishaliwa na panya hivyo haitafanya kazi.
Aisee tatizo lako una dharau sana, utakosa bahati hivi hivi, we tuma hiyo ulfu tano uone maajabu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani wanaume wa dar wanavutaga bangi ajabu hata haiwasaidii kuchanganua Mambo.
Mkuu leo tunazungumzia wanawake wa mkoani, wanaume wa darisalama mtupumzishe kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…