Wanawake wa Mikoani mkoje?

Wanawake wa Mikoani mkoje?

Duuuh kazi kweli kweli, nadhani Fikra zako zingali enzi za ujima kwa kuamini Dar ndio "PEPO" mtu ukimwambia aje atauza vyote akufuate.

Huku mikoani kuna mikoa imekaa vizuri kijigrafia. Mfano hapa Mwanza nikitaka Kwenda Kigali,Bujumbura,Kampala na Nairobi ni karibu kuliko kwenda Dar na gharama ni nafuuu (kwa usafiri wa barabara).
Nikiona nimevurugwa au nataka kuifrahisha nafsi ni uamuzi tu, niende Kigali kwa Kagame (japo ukifika hutakiwi kuongerea politiki) au Niende Bujumbura kwa Ngurunzinza, au Niende kwa Kaguta .
 
Back
Top Bottom