comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,544
- 17,558
Sasa mwanamke kumvulia mwqbaume chupi wewe inakuuma nini mzee baba.
Kama demu wako si ujiongeze haupendwi uondoke...hautakufa bila yeye.
Ni mmoja katika wanaume hopeless wa miaka hiiSasa mwanamke kumvulia mwqbaume chupi wewe inakuuma nini mzee baba.
Kama demu wako si ujiongeze haupendwi uondoke...hautakufa bila yeye.
Jamaa kazungumzia nini hasa,Sasa mwanamke kumvulia mwqbaume chupi wewe inakuuma nini mzee baba.
Kama demu wako si ujiongeze haupendwi uondoke...hautakufa bila yeye.
hahaha weka ugoko watu waweke jiweNi mmoja katika wanaume hopeless wa miaka hii
Kweli man, jamaa fala kweli, analeta stress zake za kumwagwa hukuSasa mwanamke kumvulia mwqbaume chupi wewe inakuuma nini mzee baba.
Kama demu wako si ujiongeze haupendwi uondoke...hautakufa bila yeye.
daaaaah jamaa umeongea kwa hisia sana,hebu kunywa pepsi 1 utoe hilo fundo kooni kisha sikiliza wimbo wa barnaba unaitwa YATAKWISHAmtu unajijua unamtu wako, lakini eti unaenda whatsapp status unamuandikia mwanaume mwingne ujumbe mmoja romantic sana eti unajidai unaijali Birthday yake sana.
na mpaka unaandika whatsapp inamaana huyu jamaa mnachatigi whatsapp so status yako ataiona, na nilishapataga skendo kipindi flan kua jamaa anakukunja!
duh! eti unajdai unampenda jamaa kama shabik yake tuu, au kwakua majina yenu ya ukoo yamefanana ndio ikawa rahisi kumvulia jamaa chupi?? umepagawa na umaarufu wa mshkaji?
wanawake wa miaka hii mmekua mabomu sana!
kuna sehemu barnaba anakwambia "vile nilivyokubidua nae anakupidua vile vile saa nawazaaa,vile ulivyonihemea nae unamuhemea vile vileee saa nawaaaazaaa",hebu imagine hapo bromtu unajijua unamtu wako, lakini eti unaenda whatsapp status unamuandikia mwanaume mwingne ujumbe mmoja romantic sana eti unajidai unaijali Birthday yake sana.