Wanawake wa Manyara asili yao ni wapi?

Watoto wa Kimbulu wazuri sana, whiteee!!, lainiii!!, wana asili kama ya Asia vile!!.
Nina mpango wa kudumu wa mwanamke nitakaye ishi naye maisha yangu yote nitamtoa huko. Jinsi ya kumpata, nitaenda mkoa wa Babati kwa kazi maalum ya kumtafuta na kumchagua ninayemtaka, nitazama bush ndanindani kabisa, huko nitapanga chumba kama miezi kadhaa hivi ya kufanya survey ya kumchunguza mtoto mkali na mwenye heshima. Nikishampata atanielewa tu, kutokana na tabia yangu ya upole, utu na kuthamini.
 
Sawa. . weka picha ya mtoto wa kimbulu
 
Wambulu Asili yao ni nchini Ethiopia na mashariki ya kati (Iraq)
 
Write your reply...nawakubali sana tatizo ukiwaoa umeolea masela asili yao ni sudan
 
Dogo ulikuwa unatafuta cheo cha u expert member kwa fujo saana. naona ndani ya siku mbili ushakuwa Jf expert Member. Hongera saana,
 
Iraki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…