Wanawake wa Manyara asili yao ni wapi?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,402
Reaction score
17,118
Wanakwambia mzigo mzito mpe Mnyamwezi!!!

Ni kwa Mara nyingine tenaaa comrade kijana mpole naunguruma mithili ya Simba dume awapo nyikani!!!

Aseeee!!!
Ohhoooo!

Ebanaeeee miaka miwili nyuma nilikwenda pande za Manyara aseeee! Ni katika shughuli zangu za kibiashara, basi wakati napiga misele katika viunga vya mkoa ule wa Manyara nilienjoy Sana!!

Ebbana ndio nikashangaa kuona warembo wa kimanyara wakiwa wametamalaki kila kona ya mji ulee'. .wanawake ni wazuri wale aseee nikasema hapa nipo Manyara kweliiii!???

Wanawake wana nywele za singa zilizochagizwa na shepu, sura na rangi adimuuu!!

Kama tujuavyo makabila ya Tanzania yana asili yake; kama wangoni wana asili ya kwa madiba bondeni a.k.a south Africa, je Hawa watu wa manyara wenye shehena ya warembo wana asili ya wapi???

Wayaaaaa
Ndio nachomokaaa hivyoooo

Ukichimama Nchale!!
Ukikaa nchaleeee!!! Ukichuchumaa nchaleeee""!

Wewe tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…