Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,935
- 53,966
Na kukesha makanisani
Na kukesha makanisani
Hawa wanawake wa kilokole inategemea ni mlokole wa aina Gani. Wapo makundi makuu mawili waliozaliwa kwenye ulokole akalelewa akakulia humo au aliyeokaka kwa hiyari yake au kwa yaliyomsibu kama mapepo na matatizo mengineyo ikiwemo ya ndoa na hata kupata mume. Sasa hawa waliokoka ukubwani ndo shida kwanza Balaa lake hawana msimamo kabhisa hawa kukuche kuwe usiku ni kutanga makanisani hadi inafikia hajui anasali wapi maana Ataenda sijui Efata, Atoke Aend FPCT ,atoke afike hadi kwa mashahidi wa Yehove yaan hawajisomi kabhisa.Habarini wadau,
Wale wanaume ambao ni waumini wa Katoliki au Lutheran ambao waliwahi kupata wachumba kutoka haya makanisa ya kilokole,ni changamoto gani mlipata kutoka kwa hawa wapendwa?
Angalizo: Kutotoa Tunda kabla ya Ndoa sio changamoto.
Nitakutia mimba wewe....Huko ni kufanya kinyume na maumbile bwege ww, ni sawa na kula 0713 badala ya ****
Nitakutia mimba wewe....Huko ni kufanya kinyume na maumbile bwege ww, ni sawa na kula 0713 badala ya ****
Nitakutia mimba wewe....Huko ni kufanya kinyume na maumbile bwege ww, ni sawa na kula 0713 badala ya ****
Yelewiii!kuna mzee mmoja ni mfanyakazi mwezangu aliniambia kaoa mlokole sasa kabla ya tendo lazima maombi. yaani anaombea kwanza tendo eti tusije tukazaa mtoto shetani
Astaghfiru llahNi wabishi kunyonya mboo...
Baada ya kuwa kampitia na yeye.
Yap ukimpata mfile tu....au hukumaanisha hivyo?Astaghfiru llah
Umesema weweYap ukimpata mfile tu....au hukumaanisha hivyo?
weeeh mbona mi nipo jamaniWanajua kila kitu,wabishi afu mama na baba mchungaji ndie huwapangia ratiba ya kila Siku,,,,,by the way humu hawapo wanaamini ni dhambi [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila turudi nyuma twende mbele, Lazima wajue kutofautisha majukumu ya kanisani na Majukumu ya Mume familia... Haiwezekani amuache Mme wake kitandani au nyumbani halafu yeye akakeshe wiki nzima...Kwenda kukesha kanisani siku 3 kwa kila wiki huku akimuacha mume mnara unasoma 4G kitandani.