Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Habarini wadau,
Wale wanaume ambao ni waumini wa Katoliki au Lutheran ambao waliwahi kupata wachumba kutoka haya makanisa ya kilokole,ni changamoto gani mlipata kutoka kwa hawa wapendwa?
Angalizo: Kutotoa Tunda kabla ya Ndoa sio changamoto.