Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,599
- 2,243
Kila kona kuna LINUNG'ANUNG'A MkuuTanga si ndo kuna Limbwata sana au???.
Kila kona kuna LINUNG'ANUNG'A MkuuTanga si ndo kuna Limbwata sana au???.
Mbona jogoo na debe la mnazi pia mnaweza kuelewana na blanket la bibi, vitenge vya shangazi mchezo umekwishaNaskia hadi mahari ni bei poa sana,
Mbuzi kumi nambili ambapo kila mbuzi mmoja ni buku sita tuhhhh.
12×6000= 72000Tsh
Tayari chombo kipo ndani.
Siyo makabila mengine bila 2millioni hutoki na mtoto, unafikiri unaenda kununua "CATERPILLAR"
hasa hasa kanda zileee, wanatabia ya kuuliza mtoto wakike kwani uliye mpenda kwao ni matajiri.
Inaboaa kwa waoaji.
Mbona jogoo na debe la mnazi pia mnaweza kuelewana na blanket la bibi, vitenge vya shangazi mchezo umekwisha