asikudanganye mtu wamasai wanajua kupenda..
yaani nimekufa nimeoza kwa huyu mama yeyoooo
Hawajamkata kisimi huyo wako?
wale watam kwa mapenzi but hawajui how to manage pesa wao n kutumia tyyuuuuu tafta mchaga ww utajirke
asikudanganye mtu wamasai wanajua kupenda..
yaani nimekufa nimeoza kwa huyu mama yeyoooo
cc:masai dada
nimekuja
Wewe no mwenyeji wa wapi mkuu?Nimebahatika kuoa mtoto wa kitanga.mapenzi ninayopewa acheni jamani.wanajua nyakati za shida na raha.Oeni Tanga jamani mufurahie maisha.