Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
hahaaa!! miss neddy akuanze? mtoto ananata utadhani kakalia ulimbo?
mtoto anatembea kama haendi vile? anazungusha jicho kama kinyoonga?... wallahi utangoja sana mwezi huu!
hahahahahahahahahaha Excel ulinionea wapi mpaka unanidescribe hivyo jamani
Last edited by a moderator: