Wanawake wa kinyalu ni wajeuri sana

Wanawake wa kinyalu ni wajeuri sana

nimeanza kuelewa somo nikirilate na rafiki angu (wa kike) mhehe...
Kingine mademu wa kihehe hawajui kusema HAPANA wao ni ndio..ndo maana huyu rafiki angu anipa mawazo kwani kila mmoja anayemjia lazma aweke tiki.. Cku ukikataliwa na demu wa kihehe kaoge baharini una mkosi

mkuu weka yako nkutumie vocha..teh teh unayosema n kweli na wadau yanayosema n kwel pia,nnaye wa khehe na yote yananpata mm,kuna lngne cwez ata kulmwaga hapa maanake ban itafuata
 
makubwa kweli kuoa kazi nawaonea huruma kaka zetu. na wanaume wao je wametulia au?
 
Kweli kabisa mimi mwenyewe nilikua nae lakini ukipanga wanaume ambao ashatembea nao mkipanga mstari toka mwenge mwanaume wa mwisho atakuwa kariakoo na mimi niliunga mstari maeneo ya fire
 
nimeanza kuelewa somo nikirilate na rafiki angu (wa kike) mhehe...
Kingine mademu wa kihehe hawajui kusema HAPANA wao ni ndio..ndo maana huyu rafiki angu anipa mawazo kwani kila mmoja anayemjia lazma aweke tiki.. Cku ukikataliwa na demu wa kihehe kaoge baharini una mkosi

Ww ni kabila gani?? Kinachowaponya nyinyi ni umala.y. Wachezeeni muone moto wake.chezea hehe jukuu ya mkwawa wewe,nyambafu.
 
hute nakuunga mkono kaka, ila mihasira naikubali maana hata mm ni hehe pure,ukileta ujinga sinaga subra nilaziama nikutie adabu hata 10yrs tocome. Au kwako mbele ya mkeo na wanao.
 
mkuu weka yako nkutumie vocha..teh teh unayosema n kweli na wadau yanayosema n kwel pia,nnaye wa khehe na yote yananpata mm,kuna lngne cwez ata kulmwaga hapa maanake ban itafuata

0768497592
 
Ni wababe. Wanapiga waume zao. Katika takwimu official, mkoa wa Iringa ndio unaongoza kwa wanaumw kupigwa na wake zao
 
Nimewasikiza wachangiaji wote,kwanza na declare interest mm ni mnyalu pure from mafinga,alieleza ukweli hapo ni aristolius kuhusu visasi,akishachukia hamnaga msamaha!that true.
Nipo Mafinga hapa Osterbay wanayalu og wanatoka Ilula hapa ni mixer waking,wahehe na Wabena hata kihehe Chao si og kama kile cha Ilula
 
Kumekuwa na taarifa za siku nyingi kuwa mabinti wa Kinyalu wanapotafuta wachumba huwa wakarimu kupitiliza na si rahisi ukiingia mtegoni kuchomoka hadi ndoa inajibu. Lakini baada ya siku chache hubadilika kiasi cha wewe kuhisi labda wamekubadilishia mke. Tena huwa wabaya zaidi kama atajiweza kujitafutia angalau ugali kwa mlenda kwa siku na chupa moja ya ulanzi.

Sina maana ya kugeneralize lakini nasikia hawa karibu wote. Kati ya mia safi 2 tu, hivyo uwezekano wa ku draw bad card ni 98%, confidence interval 2% only.

Kuna misemo kama bint zetu wa Bukoba ndiyo kama vile, wapare ndio usiseme na Wanyakyusa ndiyo maharage ya nyumbani. Kwa makabila haya si rahisi kugeneralize kwa sababu sio wote. Lakini wanyalu ni hatari kama wanavyodai. Pia, kuna habari kuwa ndoa nyingi zinazoyumba nchini, 98% ni za mke Mnyalu.

Wajuzi tufunueni macho maana na sisi vijana tunataka kuchukua jumla na hapa tulipo wanyalu ndio wengi, tusaidieni.

Ni vyema tukumbuke kuwa tabia za mtu haziwezi kupimwa kwa kabila lake, bali kwa malezi, mazingira na utu wake binafsi. Ni kama sababu za tabia nyingine katika maisha ya mwanadamu aidha tabia mbaya au nzuri.

Kila jamii ina watu wema na wasio wema, wenye mapenzi ya dhati na pia wenye mapungufu. Hivyo basi, si sahihi kusema kwamba ndoa nyingi zinazoyumba zinatokana na wake wa kabila fulani au tabia za wanawake au wanaume wa kbl hilo, kwani changamoto za ndoa ni za kijamii na kisaikolojia, si za kikabila.
 
Wacha uwongo wewe ...............................! Mama yngu ni mnyalu na ckuwah ckia hta cku moja mzee akilalamika kuwa ni mjeuri.........................!
Kama baba yako hai kaa nae vizuri atakusimulia
 
Back
Top Bottom