Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
Na kweli hawafai maana hata Nyerere na Mandela nao wamekufa kwasababu wameoa wamarangu!
mmemaliza wa machame sasa mpo na wamarangu,big up guys wachaga kiboko yenu
kwa taarifa yako hata wachagga tunawajua wachagga wenye tabia ngumu kama wamachame na wamarangu kwa hiyo lazima tuseme ili wajirekebisha. usilete ushabiki wa kijinga hapa.
we nani bhana....
nawewe ni nani?
hahahahhahaha, wala usijichoshe kunichukia mtu kama mie, mana sina time kabisaa na watu kama wewe, nawapotezeaga sanaa, halafu unachukia upepo?:A S-confused1: mana nyamayao kwako ni kama upepo tu, mie nakupendaje :busu
mimi fay mmarangu
lakin mbona soko la kupendwa hawa viumbe wa pande hizo wapo juu//
Weeeeeeee...hata usinipende mieeeee....nipotezeee tu poa....kama ni mmarangu...kwangu wewe ni Sumu Nyamayao....you almost killed my brother....nami nimechunguliua kifo kutokana na mmarangu pia...I hate hao watu basi tu......
originale kabisa, damu haijaachakachuliwa hii, lakini bado nakupenda na ntazidi kukupenda.🙂
Kiboko kwa kipi sasa? Of course kama ni watu wasiofaa lazima lisemwe hilo.....Kwangu mimi nimejikuta nawachukia wanawake wote wa kimarangu...deep down my heart
Mleta mada kafanye uchunguzi zaidi, kuliko uoe MACHAME bora uwe bado nipo nipo tuu!!! Maana hata wanaume wa machame hawaoi kwao, na ukienda Machame kila nyumba utakuta kaburi na ni la baba tuuu!!! Na inasadikika kuwa ukishachuma mali wanaua waume zao ili waweze kutawala mali na watoto wao tuu!! Hivi najiuliza hiyo mali unaenda nayo wapi? Si utakufa siku moja kama ulivyomuua mwenzio???? Mie sio mchaga lakini kila mtu anaogopa mwanamke wa Kimachame, kina Uf....s...ro, wadhulumuji sana.
Hivi mimi huwa nashindwa kuelewa, ni wazuri kwa sura na maumbo asikwambie mtu! shida ni nini???? sitasahau nilipo alikwa katika usuluhishi wa mtu na mchumba wake wa kimarangu! tuko kikaoni moshi mjini kumbe demu katuma ndugu zake wafungashe vitu vyote vya kijana wa watu!
majirani kumpigia jamaa simu kuuliza kama nikweli amewatuma tulistaajabu!