Wanawake wa kileo hawapo romantic kabisa

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,977
5,934
Ndugu zangu..

Hawa wanawake wa sasa sijui shida ni nini , hawapo romantic kabisa , ni wakavu mno na hawaonyeshi ushirikiano chanya wa kihisia kwa mwanaume.

Ni wagumu sana kihisia mpaka mtu unawaza labda hapa sipendwi kumbe mtu unapendwa ni vile tuu unakaa kimachale machale

Ni nini kinapelekea hawa wanawake wa sasa kutokua romantic kabisa ndugu zangu?
 
Kwa sababu ya
FB_IMG_1715874433985.jpg
 
Ndugu zangu..

Hawa wanawake wa sasa sijui shida ni nini , hawapo romantic kabisa , ni wakavu mno na hawaonyeshi ushirikiano chanya wa kihisia kwa mwanaume.

Ni wagumu sana kihisia mpaka mtu unawaza labda hapa sipendwi kumbe mtu unapendwa ni vile tuu unakaa kimachale machale

Ni nini kinapelekea hawa wanawake wa sasa kutokua romantic kabisa ndugu zangu?
Upo sahh mkuu ila sio wote, ila hii hali kama ndio mschana pamanent inaumiza sana.
 
Katika research yako umechukua sample kiasi gani katika maeneo tofauti kiasi gani au umeshirikisha wadau wengi kiasi gani ?

Watu wasije kuchangia kutokana na premise ambayo sio sahihi..., bila kufanya research naweza kusema kwamba sasa hivi knowledge katika haya masuala imeongezeka kwahio kwa muktadha huo huoni kwamba hawa wa sasa wanawazidi wa zamani ki-elimu ?
 
Mnaparamia wanawake, ukipendwa kila kitu ni mtelezo..muda wote mnakua na hisia cudling kwa wingi.
 
Watazame mama na baba zao huwa wanaishi vipi ndio utaelewa. Mama na baba hawatazamani usoni, hapo mjengoni ni full mikausho hawana hata ile kustory kama washkaji.

Ukiishi nae we jitahidi kumtrain na kumfanya abadilike na kuwa Bff kwako hayo yote yatabadilika.

Mwanamke hawezi kuelewa maana ya kuwa romantic kama hajakutana na mtu sahihi wa kumfanyia romance.
 
Mweeh yaan tunapishana tuu, watu romantic tunapata mijitu serious na haijui kabisaa cudling.
 
Back
Top Bottom